Richard Ngowi

6 Flips | 2 Magazines | 4 Following | @ngowirichard | Keep up with Richard Ngowi on Flipboard, a place to see the stories, photos, and updates that matter to you. Flipboard creates a personalized magazine full of everything, from world news to life’s great moments. Download Flipboard for free and search for “Richard Ngowi”

Basi lililoteketea moto Iringa jana.

Kila jambo hutokea kwa sababu na kwa mapenzi ya Mwenyezi Mungu. Hatuna upeo wa kutambua nini kijacho mbele yetu. Kwa niaba ya familia napenda kutoa shukrani za dhati kwa wale wote waliotoa ushirikiano kipindi cha ugonjwa wa mdogo wetu kipenzi hadi kifo chake. Hatuna cha kuwalipa bali tunamuomba M/Mungu awajalie kheri zaidi na zaidi.Kilikuwa kipindi kigumu zaidi kwetu lakini yatupasa kukubali ukweli. PUMZIKA KWA AMANI MDOGO WANGU/WETU KIPENZI @KASHUBA PRINCE NYUNDO (1993 - 2014)