Paul Anatoly

215 Flips | 1 Magazine | 3 Following | 1 Follower | @PaulAnatoly2014 | Keep up with Paul Anatoly on Flipboard, a place to see the stories, photos, and updates that matter to you. Flipboard creates a personalized magazine full of everything, from world news to life’s great moments. Download Flipboard for free and search for “Paul Anatoly”

Epsd 43: Ayumo chumbani mwake zilifanyika jitiada za kumtafuta ila azikusaidia chochote za kumuona ******************************* Kwa upande wa mfalme LUSUBIRO alishindwa kupingana na moyo wake basi akaamua kumfwata PAULINA wake kwa kuwa ndo mwanamke aliyekuwa akimuumiza kichwa kwa uzuri aliokuwa nao. kwa kuwa njia alikuwa anaijua basi aliamua kufunga safari na kuachana na mambo ya kifalme tena alikuwa akienda kutawala nchi nzima ya MONTOLOZA. Ndipo Alipoondoka na kuacha mali nyingi sana kwa sababu ya mapenzi kweli mapenzi yana run dunia. Akiwa katikati ya mto ndani ya mtumbwi wake alishtuka baada ya kuona mtumbwi ukijiongoza alijawa na ofu sana kila alipojaribu kupiga kasia wapi akiwa anajipa matumaini ya kutozurika KWA kile kitendo cha mtumbwi mara kwa mbali aliona moshi huku akiwa ameweka mawazo hapo mara akaona akikaribia ukingoni alipofika tu mara alizungukwa na wanajeshi wa kijiji hicho akiwa anataka kujitetea mara akamwona malkia TEDORA akija baada ya kufika alimwangalia kwa makini sana kisha akawaambia walinzi wake wamwache alipoachiliwa alishtuka baada ya kusikia kauli kutoka kwa malkia TEDORA "SASA MAPENZI YAMEKULETA NA UNA UBAYA NA SISI AYA NENDA KAMTAFUTE MWENZAKO NA MUANZISHE MAISHA YENU" KADELEWE alishangaaa sana na kuwaza (kweli huyu mama mchawi) baada ya hapo alishukuru na alielekezwa mahari mwenzie alipoelekeaa na kumfata baada ya kumfikia PAULINA alishtuka sana na kujua tena kawafata na uko kuwaangamiza ila KADELEWE alimwelewesha PAULINA huku Paulina imani ya mtendo ya KADELEWE hayakutoka kwani alitumia mda mwingi kuweka sawa PAULINA NAYE akamwelewa baada ya hapo maisha yakawa mazuri yenye FURAHA ndani yake. KADELEWE alisahau kuludi kwao huku akiwa baba wa mtoto 1. Huku kijiji kile kikiendelea kulindwa na mzimuni ya babu zao miaka na miaka hawakuzurika *************END*************** FOLLOW @hanscharlz and @privamastory

Epsd 42: Wazo la kwenda kuvua samaki kwali haliona mto karibu huku akitaka kuonyesha ujuzi wake kwnye makazi mapya basi aliinuka na kukimbia kwenye kibanda chake kuchukua zana za kuvulia samaki na kunyosha njia ya kwenda mtoni kila eneo alilokatiza lilikuwa lanukia vizuri sana mpaka PAULINA akawaza"Itakuwa wazee wetu walienjoy sana kwa kuwa wao ndo walianzishaga kijiji kile kikiwa akina kitu sasa hivi nasi tunaanzisha chetuuu rahaa sana" akiwa anaendelea kuwaza mara kwa mbeleake akaona kijimto kidogo kikiteremsha maji kwa kuwa safari yake ilikuwa kwenda kwenye mto mkubwa alipazarau pale lakini akiwa anakatiza kwenye maji yale aliduwazwa kwa wingi wa samaki aliowaona kwenye maji yale madogo basi alicheka sana na kujisemea moyoni " kumbe huu ndo utamu wa kuanzisha kijiji" Basi akanza kuvua samaki na wala akupata shida kama ilivyo zamani kila akizamisha mkuki wa kuvulia ulikuwa waibuka na samaki alipotoa alikuwa akitoa samaki wa tofauti kabisa kwa kuwa kule alipotoka walikuwa na samaki wakiitwa NDECHU. Ni moja samaki adimu sana na kwa upande wapaulina akuwai kukamata samaki huyo kwa kuwa alikuwa anapatikana kwenye maji marefu sana sasa anashangaa hapo anawapata kiraisi hivyo alicheka tena na kusema " kumbe kuanzisha kituu kuna utamu wake" alipomaliza kuvua alianza kurudi nyumba na furaha kwani alivua samaki wengi sana na huku mbwa wake akiwa mbele akimuongoza safari ya kuludi nyumbani mara alishtuka sana baada ya kuona kitu ambacho akijui. # ******************************* # Ilikuwa alfajiri moja nzuri sana KWA wanakijiji pamoja na wanajeshi wote wakiwa wanajiandaa kwa ajili ya sherehe kubwa ya kuapishwa MFALME mpya baada ya yule wa mwanzo kuondolewa ila cha kushangaza ni ---------------------- # # (ebu niambie utakosaje epsd43 comment nikuTAG) # UKI PROMOTE PAGE HZI @privamastory and @storynzuri NAKUTAG STORY INAYOKUJA NA IKO PROCESS NZURI HATARI # # POST KWNY PAGE YAKO KISHA NITAG MM NITAONA

Epsd 41: Baada ya KADELEWE na kikosi chake kurudi kambini wakaanza kujenga kijiji hichoo baada ya mda ulikuwa mji mzuri sana na wenye kuvutia zaidi kwa kuwa ulizungukwa na vivutio vingi sana tena asilia navyenye mvuto sana pia walifanikiwa kupata wageni wengi sana kwa kila mwaka lakini kwa upande wa mfalme LUSUBIRO kuna kitu kilikuwa moyoni na akashindwa kabisa kukizuia na kuamua # ******************************* # Baada ya PAULINA kuona KADELEWE akistopisha vijana wake kuwashambulia akajua kuwa KADELEWE akuwa mtu mwenye rohoo mbaya basi wakaendelea na safari yao tena kwa kasi sana walipo fika katikati ya mto huo mara walashuhudia malkia TEDORA akipata nguvu na kuinuka kwenye mtumbwi wake na kunena kwa hisia cha ajabu kila mtu alisikia vile anavyonena lilikuwa tukio la kushtusha sana kwa kuwa ni ngumu kumsikiza mtu anahisi nini basi baada ya kusikia kitu kile alichongea wote waliacha kupiga kasia na kufwata vile mitumbwi yao inavyokwenda baada ya masaa kadhaaa walitokea kwenye ardhi moja murua sana kila mmoja alishika kichwa kwa kuona eneo ilo basi malkia TEDORA akapaza sauti na kuwaambia "HILO NDILO ENEO TULIOPANGIWA NA MIZIMU YA MABABU ZETU" tutaishi hapa na kutengeneza history hapa basi wakatia nanga na kuanza kutengeneza vibanda hapo PAULINA alikiri kuwa akuwai kukutana na eneo zuri kama ilo tokea aanze kuzunguka porini akawa huku akiwaza sana juu ya hapo kulikuwa na ndege wazuri sana maua mazuri na maporomoko makubwa zaidi pia kulikuwa na matunda zaidi ya kule wakati akiwaza ayo mara akapata wazo---------------(wazo gani so usikose epsd 42 comment nzuri basi)

Epsd 40: Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza kwa kuwa kina PAULINA awakujua kama watawezwa shambuliwa kwa mishale ya kikosi cha KADELEWE na awatakuwa na kimbilio kwa kuwa wapo kwenye maji na awakuwa mbali na kingo za mto huo basi walishtuka picha ishaungua na kuanza kupiga kasia kwa nguvu kunusuru maisha yao kwa kuwa waliona sasa kifo ndo hicho machoni mwao na kila walipokuwa wakiangalia kikosi cha KADELEWE kilivyokuwa kikubwa basi walijua hapo mtupo mmoja wa mishale waweza kuondoa watu wengi sana na awakuwa na kinga zozote za kuzuia mishale hiyo sasa hapo walikuwa wakitegemea mizimu yao ili iwalinde PAULINA akiwa anajaribu kuokoa maisha ya malkia wake kwa kupiga kasia kwa nguvu mara alishtuka baada ya kuona KADELEWE akiwazuia wasilushe huku aliona hayo akujali aliongeza kasi na kuweka juhudi ili kunusulu maisha ya malkia TEDORA # ******************************* # Basi malkia akatoa amri ya kuwarushia wanakijiji wale mishale ili kuwasambaratisha kabisa lakina cha kustajabisha mfalme LUSUBIRO akazuia na kusema "musirushe mishale kwa kuwa atuwezi jua nini kitatokea baada ya kuwauwa wanakijiji hao sasa yatupasa kuwa makini kwa kuwa eneo lote hili lipo chini ya uangalizi wa mizimu yao tunaweza tusitoke hapa tutawatafuta kwa wakati mwingine basi KADELEWE aliamulu wote kuludi kambini basi kikosi kizima kirudiii kambini------------------------(utakosaje epsd41 kujua nini kilitokea kwa PAULINA kwenye safari yao comment huki TAG)

Epsd 39: Chukueni kikosi kikubwa na tuingie nacho msituni ili kuwasaka kwa kuwa atuwezi kuwaacha hai hawa watu akiwemo malkia TEDORA kumbe KADELEWE aliongea yote hayo akiwa ana yake kichwani {tutakuja kujua hapo mbele maana yake nn}. Kiliandalia kikosi kikubwa kwa mda mchache kikiongozwa na malkia na KADELEWE na kuzama msituni kuwatafuta kwa hudi na uvumba sehemu walipo basi walitembea mwendo mrefu sana huku walitafuta sana bila mafanikio yoyote wakiwa huku wakiwa wamekata tamaa alitokea miongoni mwa kikosi kile kijana mmoja akaona kama kiuchochoro kwenye mti fulani mkubwa sana na kumshtua KADELEWE basi amri ilitolewa vijana kadhaa waongoze msafara na ikawa hivyooo walipoingia kwenye huo mti walistaajabu ya musa bila kuona ya firauni baada ya kuona mtoo mkubwa na miti mingi sana iliyotanda kwa mbali wakawa wanawaona wakina PAULINA na malkia TEDORA wakitokomea na mtumbwi wao na hakukuwa na mtumbwi mwingine uliosalia KWA upande ule kwani walijua tu wakiacha mtumbwi pale wangewafata hiyo ni plan ya malkia TEDORA basi kitendo hicho kilimuuzi sana malkia na kuamua kufikilia mbinu nyingine # ******************************* # Malkia TEDORA pamoja PAULINA walishtukia kuna kitu kina kuja kwa kasi sana basi wakajua ni kikosi cha KADELEWE waliingia kwenye maji na kuanza kupiga kasia kutoka eneo ilo kwa kuwa walijua kuwa endapo watafika kwenye kina kirefu awatawezwa kuwafata ila awakujua kuwa walikuwa wakidili na jeshi gani pia awakumjua vizuri KADELEWE mungu wangu laiti wangelijua kuwa ilo walilofanya laweza kuwa kosa kubwa bila ya kujua..... # TAG MWENZIO

Epsd 38: Kama alivyosema malkia TEDORA baada ya kupiga atua chache kidogo na pale walipooo walishangaa ngurumo na radi kubwa zikipiga baada ya mda ikatulia hata awajakaa sawa walishtukia tetemeko kubwa likipita tena kwa kasi kubwa sana hapo PAULINA akajua kuwa malkia akuwa mtuu wa kawaida basi wakaanza kusonga mbele walitembea kidogo wakafika kwenye kijieneo ambacho PAULINA alikuwa akikijua lakini cha kilichomshtusha alikuta mto mkubwa tofauti na mwanzo kulikuwa na maua tuuu akushangaa peke yake bali hata mtoto shangwe naye alishangaaa akaambiwa kuwa hiii ndo siri ambayo ulikuwa uijui lakini siri hiii ilikuwa kwa mkuu wa majeshii ndo maana sasa waona wenzako wakikimbia kutumia mtumbwi nilifanya yote haya ili kujiokoa kama kijiji changu kitapata shidaaa alimaliza kuongea malkia TEDORA maneno hayo. Basi PAULINA alimchukua malkia na kumwingiza kwenye kijimtumbwi kilichojirani yake lakini akiwa anawaza sana kwa kuwa alikuwa kama aamini wakati akiwaza hayo mara alishtuka baada ya kuona kilicho jiri upende wa pili. # ******************************* # Vijana hao walishtuka baada ya mwenzao kuona akiwa ameuwawa wakiwa wanawaza hayo mara wakasikia kwa nyuma kama kuna kijiupepo kinapuliza kabla awajageuka walishtukia tetemeko kubwa sana lililo wadondosha chini wote na likatikisa kijiji kizima kwa mda wa dakika kadhaa baada ya mda likapoa kabisa basi KADELEWE akasema

Epsd 37: Kuwa itakakuwa malkia TEDORA ndo kauwawa sasa ndo maana radi izo zimepiga nadhani aliongea hivyo ila kwa kutoa ofuuu kwa kuwa alikuwa si mjuaji sana wa kijiji hicho baada ya radi izo kutulia wakashauriana waende wakaangalie kilichojiri baada ya kuuwawa kwa malkia TEDORA.Walipokaribia tuuu waliona mlinzi wao akiwa chini amekufa kwanza kwa kuogopa wote walisimama kwa ofu kuwa awakujua chanzo mpaka kimemuuwa basi KADELEWE alipo ona hvyooo akaagiza vijana wawili wakaangalie nini kilichojiri mle ndani na kama kudhuriwa waanze haoo wale vijana walipofika alipo mwenzo walipatwa na mshtuko baada ya kuona malkia TEDORA hayupo mahari alipokuwa amefungwa Basi taharifa zilimfikia KADELEWE. # ******************************* # Bint PAULINA KWA mbali alifurahi kumuona SHANGWE akija mahari walipo huku akiwa na mbwa wake wakiwa na furahaaa telee basi hapo PAULINA alipata tumaini sasa baada ya kumuona mbwa wake tena wakiwa wanafurahia mara wakasikia kauli kutoka kwa malkia TEDORA. Nimekuwa malkia kwa miaka mingi sana na kuna vitu ambavyo nyie amuvijui sasa tutakapopiga hatua moja kutatokea tetemeko kubwa na radi za kutisha musiwe na wasiwasi kwa kuwa nitakuwa njee ya mpaka wa kijiji sasa mizimu itanifata kunilindaaa. Huku akiongea hayo PAULINA alishikwa na bumbuwazi kwa kuwa akuwa anajua siri hiyooo japokuwa amezaliwa hapo na kukulia hapo akiwa anawaza hayo mara akasikia tena malkia akiinua mdomo na kusema "kuna siri ulikuwa uijui PAULINA na sasa unaenda kuijua" ----------------- KWA WALE MNAOONA STORY KM HIIII KWA MTU TAG JINA LAKINI ZAIDI YA @privamastory AND @storynzuri ni #PARTNERS

Epsd 36: Akawaza huyo ndo muokozi wa kijiji chao endapo atamuua ataleta shida kijiji mwao. Alipoangalia kwa pembeni aliona kabakia mlinzi mmoja tuuu basi alimrukia na kumzamisha kisu kifuani mwake na kumaliza biashara na kumchukua malkia TEDORA kisha wakazama porini huku akimkokota kwa kuwa malkia TEDORA alikuwa amepigwa sana kabla ya kutaka kuuwawa basi walikatiza ndani ya pori hilo wakiwa wanatafuta kitu baada ya kuona kitu walichokuwa wakikitafuta basi malkia TEDORA akaomba kupumzika kwanza walikaaa chini kwa mda kidogo wakati wakijiandaa kuondoka mara walishtukia # ******************************* # Baada ya kumpa kazi PAULINA ya kumuua malkia TEDORA kisha kuondoka zake basi KADELEWE akarudi kwenye banda lao akamkuta malkia wake akiwa amepumzika na wapambe kadhaa wakibadilishana mawazo naye akaungana nao lakini kifikra hakuwa hapo alikuwa akiwaza mengi sana basi akiwa kwenye mawazo hayo alishtukia akiambiwa na mkewe kuwa yawapasa wajenge jumba la kifalme kubwa sana na la kihistoria katika kijiji hicho cha MAUA kwa kuwa alipapenda sana kabla KADELEWE ajajibu kituuu walishtuka baada ya radi kubwa sana kupiga kwa dakika tano ilikuwa ni hatari sana kila mmoja wao alijawa na ofuu kuuu basi malkia aliongea kwa uoga kuwa--------------------- KWA UZAMINI wa @naimu123

Epsd 35: Mikononi mwake na kukata kamba zilizo kuwa zimemfunga alishangaa sana kwa kuwa laiti ingelikuwa kuuwawa asingelikata kamba angemshindilia kisu tuuuu wakati akiwaza hayo alishuudia KADELEWE akipiga goti huku chozi likiwa lamtoka kiume basi PAULINA hapo alichanganyikiwa kabisa na kukosa utulivu wa akili akiwa anamfikiria KADELEWE kwa mapana mara akasikia. KADELEWE: kila kitu nilikuongopea nilikuja kijijini kwenu kuchunguza mazingira ili niweze kuvamia kijiji chenu kwa wepesi na kwa hilo nimefanikiwa ila mapenzi mapenzi mapenzi nakupenda PAULINA hapo nimeshindwa kuchomoka na kama unasikia story kuhusu mfalme LUSUBIRO basi ujue ndo mimi na nimeweza kuja kwa sura nyingine ili musiweze kunihisi kwa kituuu chochote amini ndo mimi ila mapenzi yamefanya moyo wanguu ushikwe na ganzi narudia tena nakupenda. Basi kwa kauli izo ziliufanya mwili wa PAULINA kukamata ubaridi kwa kutokujua afanye nini alijawa na ofuu ila kwa kuambiwa anapendwa lilikuwa jambo la ajabu sana tena na mfalme LUSUBIRO akijisemea moyo 'leo nina kazi hapa yanipasa nijiamini ili kuweza kumuokoa malkia wangu' basi akamjibu. # *****†************************* # PAULINA: Nadhani wajua we ndo mwanaume uliyetoa usichana wangu wala ukufikiri kwa nn nilifanya vile yote ilikuwa kwa sababu nakupenda na si vingine nilikupenda sana na bado nakupenda umeweza kuupa moyo wangu faraja na furahaaa japokuwa kwa mda mfupi. Baada ya kuongea hayo alianza kulia KADELEWE aliinuka na kumpatia kisu na kumwambia yampasa atoe rohoo ya MALKIA TEDORA na atamwacha aende zake wala atomdhuru basi PAULINA alikamata kisu. Baada ya kuongea hayo KADELEWE akatoka njee na kumwacha tausi akiwa na malkia kwa ajili ya kutoa rohoo yake basi aliinua kisu na kukishusha kwa kasi ndipo akashtuka baada ya kuona

Epsd 34: Mwingizeni kwenye kibanda cha mateso ni kauli iliyopenya sawia kwenye masikio ya PAULINA na hapo ndipo alipojua kuwa KADELEWE ni moto wa kuotea mbali akiwa anawaza ayo alishtukia akishikwa na kuinuliwa kupelekwa kwenye chumba cha mateso alikaa hapo kwa masaaa kadhaa ndipo akamwona KADELEWE akija alipofika alichomoa kisu basi mwili wa PAULINA ulitokwa na jasho si kitoto akakumbuka kuwa huyo ndo mwanaume aliyelala naye siku moja kabla ya tukio ilo la kutisha tena ndiye mfalme LUSUBIRO alilia sana kwa kujua mwisho wake ndo umefika alipomwangalia usoni akuwa yule KADELEWE mcheshi bali alikuwa na sura ngumu si mchezo na UHB wote ukaishaa hapo ndipo PAULINA akujua sasa amna masihara bali kifo chagonga odi ila moyo ulimuuma sana kwa ahadi zote alizoweka na KADELEWE kwao alimpenda sana na alitaka kuwa na watoto wazuri kupita mfano wake kuishi sehemu nzuri na yenye kujitenga pembezoni mwa kijiji chao machozi yakiwa yanamtiririka mara akashtuka kisu kikipita kwa kasi swaaaaaaaaaa!!!!!!!!¡ # ******************************* # Basi baada ya PAULINA kuondolewa KADELEWE aliwaza sana afanye nini kichwa kiliuma ila ilibidi awe mgumu kwa kuwa ye ndo mfalme mwenyewe basi akamwita mkuu wa kikosi na kumwambia tuma vijana miatatu waende wakampe taharifa baba kuwa tayari nishakamata dola ya kijiji cha MAUA na mwambie atume mzee wa ramani aje kuchora ramani ya kijiji hichi kabla ya kuamia na ramani ya jengo la kifalme pia mwambie kuwa ni eneo la tofauti sana katika kijiji chtu. Baada ya kumaliza hayo alichukua kisu na kuondoka zake akielekea alipo PAULINA ----------------------------- HAPPY BORN DAY TO MY NIGGAR @privamastory # "COMMENTS TU HBD"

Epsd 33: Kuona mkuki ukiwa kisogoni mwake alipatwa na ofu kwa kuwa alijua amepatikana huku akifikilia ndyo mwisho wake basi yeye na malkia TEDORA walikamatwa na kutenganishwa sehemuuu baada ya mda mkuu wa kikosi akapewa taharifa ya juu kukamatwa kwa binti PAULINA aliyewatorosha baadhii ya mateka basi naye akanyosha moja kwa moja mpaka kwenye kibanda kilichokuwa ngome kuuuu ya mapambano yao alipofika tuuu alikutana na malkia na kumwelezea tukio zima basi malkia naye aliingia ndanii baada ya kuingia ndani alistaajabu kuona KADELEWE akiteremsha machozi alijawa na ofu kwa kuzani alijeruhiwa sehemu mbaya akashindwa kusema ikambidi amuhoji malkia: mfalme LUSUBIRO umepatwa na nini kipenzi cha rohoo yanguu KADELEWE: "kichwa chauma wala usiwe na shaka kwani kuna tatizo gani mke wanguuu malkia: kuna binti mmoja alitaka kumukwepesha malkia TEDORA sasa tumembamba ndo nimekuja kukupa taharifa ili utoe ukumu juuu yake KADELEWE:( Alipatwa na mshtuko wa ajabu ila akutaka kujionesha kuwa ana tatizo lolote basi akajiinua na kutoka njeee)" # ***†************************** # Alipotoka nje tuuu wanajeshi wote waliinama na kutoa heshima kwa mfalme wao huku wakitamka maneno haya 'MAISHA MAREFU KWA MFALME LUSUBIRO'. PAULINA alipigwa na bumbuwaza baada ya kusikia maneno hayo akawa anawaza(kumbe siku zote nilikuwa nikiishi na mfalme lusubiro mungu wangu nimekwishaaa mbona afananiii). Alipata habari zake kuwa mfalme lusubiro ndo mfalme mwenye nguvu sana kwenye nchii hiyo na yupo mbiona kupindua nchii nzima lakini PAULINA alishindwaa pata jibu sawasawa kwa kuwa KADELEWE alikuwa mcheshi sana pia akakumbuka juuu ya story yake apo akapata jibu kuwa ni muongo {alikuwa akinidanganya] akiwa anawaza hayo mara akasikiaaa

Epsd 32: Basi PAULINA akachukua jiwe na kulirusha upande wa pili kwenye majani mengi basi walinzi wa KADELEWE waliposikia hivyo walitawanyika mara moja na kwenda kulizunguka eneo lile kwa kujua kuwa maadui zao watakuwa wamejificha hapo walianza kutafuta kwenye eneo ilo bila ya mafanikio yeyote kumbe kwa kitendo hicho walichokifanya ilikuwa ni mbinu ya PAULINA na lilikuwa ni kosa kubwa sana walilo lifanya mda ule wale vijakazi wa KADELEWE kwa kuwa PAULINA alitoka nduki moja kwa moja kwa mtu huyo na kuanza kumfungulia ili watoroke naye yule na wenzake walivyoona hivyo walijua fika ni kwa nini PAULINA anafanya hivyo wala hawakuwa na papara wenyewe walitulia ili kutowashtua wale vijakazi wa KADELEWE waliokuwa wamewayeka hao watu wa kijiji chao mara PAULINA alishangaaa # ******************************* # Harufu uzuri sana wa kijiji hicho kwa kuwa kilitawaliwa na maua mengi pia na miti yenye mvuto sana basi MALKIA huyo akajisemea moyoni kuwa "mume wangu kachagua sehemu sahiiii kwa maisha yetu". Ila kwa upande wa KADELEWE ilikuwa tofauti sana akiwa mule ndani aliumia sana kwa kitendo kile alichokifanya kwa kuwa tayari MAPENZI yalishamvuruga kila akiwaza juuu ya PAULINA moyo ulikuwa wamlipuka paaaa ila akuwa na jinsi zaidi ya kukubaliana na hali akiwa anawaza hayo mara akashtushwa na

Epsd 31: Basi PAULINA alienda kujibanza kwenye kijumba fulani kicho kuwa pombezoni na kuwaona wale mahadui kisha akawa anaangaza kwa wale mateka kwa bahati nzuri akafanikiwa kumuona mtu aliyekuwa akimtafuta basi alijawa na furaha kwa kuona mtu huyo yu mzima kwa kuwa ndo alikuwa mbeba mizimu yote ya kijiji chao enzi na enzi na akuwa amemrithisha mtu so PAULINA huku mwanzo alijawa na wasiwasi kwa kudhani mtu huyo amekufa kwa kuwa laiti angelikufa angelipoteza dira yote ya maisha ya kijiji chao na wangeanza moja na kupitia maisha magumu sana na taabu nyingi hiyo ndo ilikuwa imani ya kijiji chao. # **†****************************** # Akiwa amekaaa pale akawa anawaza afanye nini kuweza kukomboa maisha ya mtu yule kwa kuwa ndo muimili wa kijiji chao na makazi yao alifikiri sana nini chaweza fikisha ujumbe kwa haraka kwa mtu huyo basi akapata wazo kwani naye PAULINA ni MTU mjanja sana akiwa kwenye vita # ****************************** # KADELEWE akiwa mwenye furahaa tele sasa baada ya kumiliki kijiji chote na kuweza chukua mateka asilimia kubwa sasa alijua kaisha maliza kazi ila alipatwa na mshtuko wa ajabu baada ya kuwaza kituuu kilichoukosesha moyo wake rahaa na kuinama chini akiwaza kwa mda mrefuuu akitingisha kichwa mpaka mkewe akapatwa na wasiwasi na kumuuliza mumewe nini kilichomsibu ila alitingisha kichwa kwa ishara ya kumwambia amna kituu ila alikuwa anawaza mawili matatuu. Basi malkia akatoka nje na kuanza kuangalia mandhari ya kijiji chao na kusema moyoni kuwa kijiji hichoo kimebarikiwa sana kwa kuwa kilikuwa na kila kituuu. Akiwa anawaza hayo mara akawa anasikiaaaa------------------ FOLLOW FOLLOW FOLLOW FOLLOW FOLLOW FOLLOW @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz

Epsd 30: Baada ya kumalizana na wale vijana PAULINA alisonga mbele kwa mbali kidogo aliona ndugu zake wakifanywa mateka ni kitu kilichomuuma sana aliwaza atafanya nini ili aweze kuwakomboa ndugu zake kwenye mkono ya hao mahadui pia alicheki idadi ya majeshi kwani yalikuwasana naye alishtuka sana kwa kuwa kilikuwa kikosi kikubwa sana na ndo maana walinzi wa kijiji chao walishindwa kufua dafu na kutimuka zao ili kuokoa maisha yao akiwa kwenye eneo ilo akawaza tena kuwa wapi alipo KADELEWE wake alijawa na wasiwasi kwa kudhani KADELEWE kadhuriwa alijawa na simanzi basi akaamua kufikia maamuzi ya kupambana mpaka mwisho # **************************** # Kwa upande wa KADELEWE akiwa ameshashika sehemu kubwa ya kijiji hicho pamoja na kukamata mateka kadha basi aliamua kutuma vijana wake wakamlete malkia TEDORA nao vijana wakatii amri hiyo na kutimuka mbio kuelekea porini kumchukua malkia TEDORA huku moyoni akijipa tumaini na kujisemea baba atafurai sana kwa hiki nilichokifanya kwa kukamata kijiji kikubwa hivi na hawa mateka watakuwa watumwa wa hapa mpaka nitakapomaliza kujenga jumba kubwa la kifalme hapa na kuleta wananchi wangu hapa kuwatambulisha makazi mapyaaa najua watafurai sana kuamia hapa kwa kuwa kuna ardhi yenye rutuba sana pia mandhari ya kijiji hiki ni ya kuvutia sana akawa anawaza. Wazee wa hapa walipata wazo lipi la kujenga hapa kwa kuwa kulikuwa na kila kituuu na lilikuwa eneo la kipekee sana lenye kila kitu

Epsd 29: Akiwa anakaribia kijijini hapo mara akakuta na wanawake wakikimbia pamoja na watoto wakitokomea maporini kunusuru rohooo zao kwa kuwa kulikuwa na umbali akuweza kuwasimamisha wakina mama wale ili kuwauliza nini kilikuwa kikiendelea na chanzo nini basi yeye aliingia moja kwa moja kijiji na katika pitapita zake mara akakutana na vijana wawili ambao walikuwa na silaaa na hakuwatambua moja kwa moja akujua hao ndo wavamizi walio vamia kijiji chao basi akaanza kukabilia na nao. Wale vijana walipoona mwanamke wakamdharau duuu kipigo walichokipata kilikuwa cha hatari baada ya kuwalegeza moja kwa moja akisaidiwa na mbwa wake basi wakaendelea na safari kuelekea mbele ili kwenda ili kumuokoa malkia TEDORA # ******************************* # Kwa upande wa KADELEWE Usiku ule mnene wakiwa wamelala mara KADELEWE alipomwona PAULINA kalalala yeye bila kumuaga akaamka na kutokomea zake porini kwa mwendo kiasi akatokea panapo kambi yao baada ya kuwaona wanajeshi wote waliinamisha vichwa chini ikiwa kama ishara kwa mkubwa wao basi KADELEWE akamwita mkuu wa majeshi na kuingia naye ndani na kumpatia mpango mzima wa kuvamia na kumuamuru aandae jeshi kwa ajili ya kwenda kuvamia mara moja tena usiku huohuo basi na ikawa hivyo jeshi kubwa likajiingiza kwenye kijiji hicho ma kuua mamia ya watu wakiwemo watoto wadogo lilikuwa ni shambulio la gafla ambalo malkia TEDORA akulitarajia pia hata hakupata mda wa kujiana na kupanga kikosi chake

Epsd 28: Baada ya KADELEWE kuweza mshawishiii PAULINA kufanya naye mapenzi basi PAULINA akamtaka aendelee na hadithi hiyo KADELEWE: (huyu mwanamke namdanganya na bado anataka niendeleheee kumdanganya basi akawaza na kuamua kufupisha story) Nilishtukia malkia akinizunguka na kuanza kunipapasa duuu mwili ulinisisimka hatari na kweli siku hiyo niliweza kula dodo la malkia wanguuu lakini akunaga siri ya watu wawili baada ya siku kadhaaa mfalme alisikia na kuamuru sote tuuwawe nikiwemo mimi na familia yangu basi nikiwa nataka kuinusuru familia yanguuu nilikuta tayari wote washachinjwa vibaya hapo niliamua kutoka mbio kutokomea porini nikiwa sijui nini kilimkuta malkia ndo mpaka leo waniona hapa. Alipomaliza alianza kulia tena na kumpa kazi PAULINA ya kumbembeleza baada ya mda KADELEWE alitulia na wote wakalala wakiwa wamekumbatiana na furaha tele mioyoni mwao-- # ******************************* # Kulipokaribia kupambazuka PAULINA alishtuka na baada ya kuangalia pembeni akumuona KADELEWE akiwa anashangaa shangaaa huku na kule ila kwa mbalia akaona jinsi kijiji chao kinavyoteketea na moto alishindwa kuamini kwa kuwa jana yake kilikuwa salama tuuu alijiinua haraka haraka na kukimbilia kijijini kwao akiwa amechanganyikiwa haswaaaa---------------------------------------(utakosaje ²9 hatariiii) # TOP 20 WATAKAO COMMENTS NA TAG STORY ITAKAYOFATA

Epsd 27: Basi KADELEWE aliendelea na story basi "Aliingia malkia ofisini kwangu swali la kwanza kujiuliza je ajaonekana wakatiii akiingia ofisini kwanguu niliogopa sema na ukweli nikiwa nawaza vitu vingi sana mara nilishtushwa na kijikaratasi kilichorushwa juuu ya meza yangu sikuweza kukifungua zaidi ya kuinua sura yanguuu na kumwangalia malkia wanguu ambaye alitabasamu na kusema malkia; nimekipenda sana hicho kijiji na nataka kiwe mali ya falme yanguu fungua ramani na uisome kisha upange mashambulizi na mitego kwa ajili ya kwenda kukivamia KADELEWE; "(hapo ndo akili yangu ilifunguka kwa kuwa nilijua ni ya kikazi na sio kwa swala aliloliongea masaa machache yaliyopita)" sawa malkia wanguu nitaifanyia kazi ndani ya wikii hiii nitakupatia jibuuu nilimwambia huku nikifungua karatasi lile gumu lilokuwa na ramani ya kijiji alichotaka kukivamia wakati nikipitia pitia mara jasho jembamba lilianza kunitoka # ******************************* # Baada ya kupakana rangi na ule mgusano basi kila mmoja wao alipatwa na msisimko basi walijiinukia huku PAULINA kajiegemeza kwenye mnazi mmoja. Basi babako KADELEWE baada ya kuona hivyo moja kwa moja naye akamfata alipo amna aliyemuuliza mwenzake kuwa anataka nn basi taratibu KADELEWE akaanza kula vyakeee

Epsd 26: Nilikutana macho kwa macho na mke wanguu nilijawa na ofu kwa kwa kujua kuwa atakuwa amesikia maongezi yangu na malkia na kweli alikuwa amenisikia na kuniambia yanipasa niwe makini lasi hivyoo matatizo yapo mbele yanguuu basi sikuwa na la kujibu mke wangu na nikaondoka moja kwa moja mpaka ofisini kwanguu nilikaa na kuwaza sana juu ya kitu ambacho kinakuja mbele yanguuu baada ya mda nikajisemea moyoni kuwa yanipasa nifanye vile kwa kuwa malkia alikuwa mzuri sana tena alikuwa ni binti mchanga sana nikasema lazima nimle nikiwa nawaza hayo wala sikuwa na ofu na kitu ambacho chaweza ikumba familia yangu nikiwa nawaza hayo mara likatokea jambo ambalo sikulitegemea # ******************************* # Basi baada ya kuogeshana kwa mda mrefu na kucheza sana kwenye maji hayo basi walijitoa pembeni wakaenda kukaa kwenye kimlima fulani ambacho kiko pembezoni mwa maji yale basi KADELEWE alitoka hapo na kuingia porini aliporudi alikuwa kashikilia kimzigo cha maua fulani alipomfikia PAULINA na walikaaa china kwa pamoja na kuanza kuchambua kwa pamoja ila baadaye KADELEWE akawa ana ya changanya na kutengeneza rangi iliyomvutia sana PAULINA na kuoji "umechanganyaje mbona sijakuelewa duuu ila imetoka rangi nzuri sana". Basi wakaanza kuchorana KADELEWE akimchora paulina na paulina akimpaka kadelewe ilikuwa jambo la furahaaa sana wakawa wanachekacheka na huku PAULINA akiogopa kumpa jibu KADELEWE licha ya hayo yote KADELEWE aliweka 100% binti PAULINA kaweka tiki # FOLLOW FOLLOW FOLLOW FOLLOW @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz

Epsd 25: Wakiwa wanendelea na hadithii basi PAULINA aliinuka na kumwinua KADELEWE wakatokomea ndani ya pori ilo wakikatiza katiza huku na kule mara wakatokea kwe maporomoko makubwa ya maji tena maji meupe kabisa kitu hicho kilimstajabisha KADELEWE na kujisemea moyoni kuwa hapa ni mahala pazuri sana na nitakuja kujenga falme kubwa sana maana panamvuto mzuri basi hapo akiwa anaendelea kuwaza hayo mara akasikia ubaridi mwilini mwake alipoangalia vizuri alimwona PAULINA akijimmwagia mwagia maji huku akicheka basi naye akafanya hivyohivyo wakiwa wanaendelea mara PAULINA alimwambia KADELEWE "ningependa sana uendelea na hadithi yakooo huku tukifurahia haya maji mazuri" # ******************************* # KADELEWE: oooooohh basi nami nikanyoosha mkono wangu kumpatia malkia huku ofu ikiwa moyoni mwangu kwa kuwa alikuwa jambo raisi sana kukutana na malkia japokuwa tulikuwa twaishi jumba moja Malkin: wajisikiaje KADELEWE: safi tu malkia wanguuu Malkin: wawaza nini KADELEWE: (nilipatwa na mshtuko mkubwa sana tokana na swali hilo ambalo lilikuwa jepesi ila kwa upande wangu nililichukulia kwa mapana basi nikapata jibu) nipo napunga upepo tokana na ushindi wetu tuliopata kutoka kwenye kijiji cha MPITIMBI bila ya upinzani wowote Malkin: Nakupenda KADELEWE: (nilidata na kuanza kuangalia pembeni kwanza kwa kuona au mtego au kitu gani kwa kweli sikuweza kujibu tokana na mshtuko nilioupata basi naye aliendelea Malkin: Una mvuto sana kadelewe na umenivutia mno utakuwa wafanya baadhi ya kazi za mfalme hahahaaaaaaa. # ******************************* # Basi alicheka na kuondoka zake nikiwa nimepigwa na bumbuwazi ila kimoyoni nikawa najisemea kweli me ndo kiboko yao mpaka malkia nikiwa nageuka kuelekea ofisi kwangu mara nilipatwa na mshtuko wa ajabu sana-------------------------- Follow follow Follow My BOY HIMSELF @privamastory @privamastory @privamastory

Epsd 24: Basi KADELEWE akaingia zake porini kutega mitegoo ili waweze kujipatia msosi siku hiyo huku PAULINA naye akiingia porini kusakama kuniii basii baada ya mda PAULINA aliwai kuludi na alipofika alianza kukoka moto huku akimsubiri KADELEWE akiwa anaota moto mara kwa mbalia akamuona KADELEWE akijaa hapo ndo akaamini kuwa kijana huyo alikuwa fasta na mzoefu sana kwenye uwindajiii akasimama na kwenda kumpokea wakafika na kuanza kunyonyoa manyoya kwa ndege yule aliyekamatwa na KADELEWE na nyama aliyokuja nayo basi KADELEWE akazama tena mashambani na kuchomoka na mkungu wa ndizi huku PAULINA akiendelea kuhoka nyama baada ya kuivisha walikula na kusaza vakula kwani kilikuwa kingine sana. # ******************************** # PAULINA "Endelea na story" KADELEWE "kweli nakuambia yaani una kijimvuto fulani hivi hata nashindwa kukizungumzia mpaka nafikiri utazaa watoto wazuri sana" PAULINA "Sio hizo story Mimi nazungumzia ile story ya maisha yako" KADELEWE "ooooooohh kumbe! basi hapo ndipo nilipoanza fanya kazi nikiwa mwanajeshi na familia yanguuu ikaamishiwa kwenye jumbaaa la kifalme maisha yalibadilika sana PAULINA sasa niliishi vizuri kwa kuwa sikuangaika tena kwenda kuwindawanyama porini bali nilikaaa ofisini nikitoa oda na mikakati ya kikazii. Baada ya miezi kadhaaa tukaja mpokea malkia aliyeenda kutembelea vijiji vingine basi mfalme aliandaaa pati kubwa sana tulikula na kunywa ilikuwa siku nzuri sana siku hiyo baada ya malkia kuwasili kwenye ile pati na ilipomalizika kila mtu akaenda zake kwake. Baada ya shughuli ile zilipita kama wiki mbili bila kuonana na mfalme ila siku moja nikiwa nimekaaa juu napunga upepo kwenye moja ya korido za jumba ilo la kifalme mara nilishtukia naguswa begani nilipogeuka nilipatwa na mshtuko wa ajabu na sijui nini kilinishtusha. Alikuwa malkia mbele ya macho yangu akanisalimu huku --------------------------- # HIII KWA UZAMINI WA WELBERCK

Epsd 23: Mbona umeacha kusimulia waniangalia sana mpaka naogopa alipomaliza kuongea hivyo basi PAULINA akatabasamu kiaibu huku akiangalia pembeni ilo ndo lilikuwa kosa alilofanya PAULINA basi akampa mwanya kadewele kutupa karata yake kama anaweza bahatika. KADELEWE "ujue PAULINA we ni msichana mrembo sana ambapo nakirii kwa moyo na nafsi yangu tokea nimezaliwa sijawai kutana na mwanamke wa kiwango kama chako nimetembea vijiji vingi pia nchii nyingi za jirani lakini sijawai kutana na msichana wa kuweza hata kukufikia kwa 40% ki ukweli umefanikiwa kupita moyoni mwangu moja kwa moja kila nilipokuwa nakuangali kuna kitu kilikuwa chasema moyoni mwangu kuwa we ni msichana sahiii uliye chaguliwa kwangu pia naamini utakuja nipatia watoto wazuri sana na kunisaulisha yote yaliyopita kwenye maisha yanguuu fungua moyo wako na unikabizi mimi nitakufuraisha maisha yako yote pindi ukosapo Furaha" # ***************************** # PAULINA: "alipatwa na mshtuko baada ya kuambiwa maneno yote hayoo kwa kuwa akuwai kuambiwa maneno hayo na kijana yoyote pale kijiji kwao sio kwamba akuwai kutongozwa ila KADELEWE ameingia ndani zaidi na kusifia sana ila gafla alipatwa na wasiwasi kwa nini mtu huyo aliyepatwa na matatizo kipindi kirefu na awe mchangamfu hivyo ila akatupilia mbali mawazo hayo akawa anawaza amjibu nini kwa wakati ule alikosa utulivu akilini mwake alishindwa kujielewa kwa kuwa hata yeye alishakiri kuwa anampenda ila akuwai kumtaamkia huku mapigo ya moyo yalimwenda kasi sana akiwa anafikiri ajibu nini mara akapata wazo" Nataka unioneshe huodari wako wa kuwinda nami naenda kutafuta kuni ntakuambia baadaye kituu sasa changamka kabla giza alijatandaaa ulete kitoweo hapa huku akimalizia kusema hayo na kujicheshachekesha Lakini kwa upande wa kadelewe akajua tuuu tayari mambo safi wala hakuwa na shaka akainuka na kuzama zake porini kuwinda alichoagizwa na binti PAULINA

Epsd. 22: Baada ya kumbembeleza kwa mda mrefu alifanikiwa kumnyamazisha na kumtaka aendeleee kumpa simulizi iliyomkuta maishani mwake basi KADELEWE akaendelea kumpa simulizi yake KADELEWE: "Nilipomaliza kuzika niliendelea na biashara yangu iliyokuwa inaniingizia kipato kikubwa sasa baada ya miezi kadhaaa wanyama walipukutika sana porini na kuliacha pori kuwa tupu ila kwa upande wangu nilikuwa nawabaatisha na kupeleka kwenye jumba la kifalme. Kwa kitendo hicho kilimshtua sana mfalme kwa kuwa alijua msimu huu siyo mzuri kwa kupatikana kwa nyama pori basi aliamuru niitwe ili anione nami nilitii amri ya mfalme nikaenda tukutana naye ila nilikuwa na ofu fulani kwa kuwa nilikuwa namwona kimbali mbali nilipokutana naye tu # ******************************* # Mfalme: Ujambo kijana waitwa nani KADELEWE: kadelewe mtukufu mfalme mfalme: wawezaje kupata wanyama msimu huuu KADELEWE: mbinu na mitego yanguu mtukufu mfalme mfalme: basi kuanzia leo utakuwa mwanajeshi wa jeshi la kifalme na utakuwa kitengo cha mapigano vitani najua mbinu zako sasa utaenda kizitumia kuwinda maadui zetu KADELEWE:(alipigwa na bumbuwaza hakujua ajibu nini kwa kuwa alipewa nyazifa kubwa bila kuwa na uzoefu wowote tena akuwa anatarajia) Nimekubali mtukufu mfalme". Wakati akiendelea kumsumulia story PAULINA pia alijipa kazi ingine ya kuonyesha ustadi wake wa kuchoro mapambo ya mwili basi akawa anamchora chora PAULINA ambaye naye akuwa na ubishi wowote ila moyoni PAULINA alikiri kuwa KADELEWE ni mtaalamu sana wa kupangilia michoro mwilini mwake pia alishaanza kumpenda kwa kuwa alikuwa kijana mwenye mvuto aswa.Hata moyo wa KADELEWE nao ulishampenda kwa kuwa moyoni alikiri kuwa PAULINA ni moja ya msichana warembo sana tena kuliko malkia wake ambaye ni mkewe basi hapo alijua lazima atakula tunda la PAULINA japokuwa aikuwa kazi iliyompeleka kijijini hapo ila uzuri wake tuuu ulimpagawisha akiwa anaendelea kuwaza yake mara PAULINA akamshtua # ****************************** # ##TAG_MWENZIO_APATE_KUSOMA_next_NATAG STORY_KWAKO_

Epsd 21: PAULINA akiwa hana tegemeo lolote akiwa pale china mara alishtuka baada kumwona mbwa wake akimshambulia yule kijana aliyemkamata kwa kuona hivyo alifurahi sana mbwa wake akimsaidia kwa Mara ya pili. KADELEWE naye akaanza na yule kijana mwingine mapambano yalikuwa makali sana baada ya mda ushindi ulirudi kwa PAULINA na KADELEWE baada ya kuwaangamiza vijana wote wawili na kuamua kuhama sehemu hili huku wakiofia maisha yao ila kwa PAULINA alipatwa na ofu kwa kuwa akuwajua vijana hao basi KADELEWE alimuondoa wasiwasi kwa kumwambia kuwa hao watakuwa wawindaji na walitaka kukubaka kwa kuwa wewe ni mrembo sana akamalizia kwa kucheka basi kidogo PAULINA akashusha pumzi kwa mbali akawa anaanza kumuamini KADELEWE # ******************************* # Basi walizama kichakani na kukitafuta kijimlia kilichojirani na kijiji chao huku wakiendelea na stori ambayo ilikuwa yatolewa na KADELEWE KADELEWE: Basi nikawa napeleka nyama kila ninapopata na nikazidi kuboresha mitego yangu kwa kuwa jumba la kifalme lilikuwa linaishi viongozi wengi wakubwa na waliopenda kutafuna nyama pori basi kipato changuu kilizidi kuongezeka kila kukicha na maisha yakawa yanabadika sasa sikuwa tena maskini bali nilikuwa na kipato cha kujitosheleza me na familia yanguu baada ya miaka mitatu nilimpoteza mama yangu lilikuwa pigo kubwa sana kwangu kwa kuwa ndo nilianza kupata mafanikio na ndiyo nikawa nimempoteza mama yangu ambaye hakuwa amekula matunda ya mwanaye ndiyo kwanza naanza kuyachuma(KADELEWE aliinama na kuanza kulia basi PAULINA akamsogelea na kuanza kumbembeleza )--------- # TAG FOR TAG

Epsd 20 Wakiwa hawana hili wala lile mara walishtukia wakizingirwa mara moja na wale vijana licha ya kila mmoja kujipanga na atakaye mvamia ila kwa upande wa KADELEWE alikuwa wa kiume walishindwa kumdhibiti kiwepesi lakini upande wa binti PAULINA alionekana kuzidiwa kwani vijana walivyo mvamia yeye mawazo yalikuwa kwenye ile story aliokuwa akisinuliwa na KADELEW. Sasa mmoja wa vijana wale alianza kumlia target KADELEWE huku naye KADELEWE akiwa anajitaidi kujiami huku akirudi nyuma na ajipange upya kwa mapambano basi hapo PAULINA aliona tegemeo lake laweza kuwa kwa KADELEWE kwa kuwa ndo alikuwa akijaribu kupambana na mmoja wao huku yeye yuko chini akijitaidi naye kupambana na yule kijana # ******************************* # Mapigano hayo yalichukua mda kidogo kwani kila mmoja alikuwa mzoefu kwenye upande wa kupigana. Vijana wale walianza kuonesha kushindwa ndipo KADELEWE alichukuwa nafasi ile ili apambane vilivyo na kwenda kumsaidia PAULINA kwani aliona kazidiwa na yule kijana aliyekuea akipambana naye. Licha ya mbwa wa PAULINA hakuwepo maeneo yale alikuwa ametoka naye kwenda kutafuta kitoeo licha ya kukosa alirudi na kukuta mapigano yale huku akiwa na hamu ya kula ndipo alipoona ndiyo nafasi yake naye kushelekea kwani alizunguka pori zima bila kufanikiwa chochote naye bila kupoteza mda alimlukia kijana ambaye amemkaba binti PAULINA na kumdondosha chini huku akimshambulia vilivyoo. # COMMENTS & LIKE

Epsd 19 Huku wakiendelea PAULINA pamoja na KADELEWE hawakujua kuwa kuna vijana walikuwa wamejificha kwenye majani pembezoni mwao huku wakiangalia walichokuwa wakifanya kwa wakati ule basi PAULINA alikuwa mpole na mwenye huruma. Basi PAULINA akamfungulia kijana yule na kuanza kuongea naye huku akimdadisi kwa mambo mengi akitaka kujua story ya maisha yake basi KADELEWE akaanza kufunguka kuwa ye alikuwa ametokea kwenye familia ya kimasikini sana ndipo akajishugulisha na uwindaji na kitu kilichomchochea ye kuanza kujifunza kuwinda. Kulikuwa na mzee mmoja aliyekuwa muindaji mkubwa sana kijiji kwetu basi nilishawishika kuwa kama yeye basi nilijiunga naye na kuanza kujifunza kuwindaaa huku nikiamini nitafanikiwa na kuwa kama mzee yule miaka ikapita nikaja kuwa muwindaji mkubwa sana na kuanza kupata kipato kidogo kwa uwindaji wangu hapo kijiji # ******************************** # KADELEWE akaendelea kufunguka "nilifahamika sana na kijiji kizima kwa kazi ile licha iliniondolea matatizo lakini haikuwa kazi yepesi kwani iliitaji juhudi na maarifa pindi ufanyapo hiyo kazi lakini nilivyoonesha nia na kuipenda basi kwa mda mchache tu nikawa mzoefu. PAULINA alitokea kuipenda kwani aliona kijana KADELEWE kapitia kwenye tabu sana na akutaka aishie njiani basi alikuwa akimuuliza maswali Kijana KADELEWE naye anayajibu. # ********†******************†* # Pindi KADELEWE akiendelea kumsimulia PAULINA vijana wale walianza mipango ya kuwateka. PAULINA pamoja na KADELEWE hawakujua kinachoendelea basi waliendelea na story ile licha ya vijana kumaliza kujipanga wali toka sehemu walipo kuwa wamejificha. # ######### TAG #########

Epsd 18 Safari ilikuwa imepamba moto walitumia masaa machache kidogo kukivuka kijiji chao ndipo walipo anza kuingia kwnye kijiji kingine ili watafute pori lolote. Walitembea huku wakipiga story mbili tatu huku PAULINA akifikilia agizo LA malkia TEDORA LA kumuangamiza KADELEWE. Basi baada ya kufika msituni basi PAULINA alimuweka chini yule kijana na kutaka kumuua ila kuna kitu kiliingia moyoni mwake na kujawa huruma kila alipomwangalia kijana huyoo alionesha si mkaidi ila alishtushwa na sautii ya kijana huyo ikimwomba asimdhuru kwa kuwa akuwa kwa nia mbaya kijijini hapo bali alipotea baada ya kukimbia kijijini kwao kwa sababu ya matatizo basi PAULINA ikambidi amuulize kuwa nini kiliikuwa shida. Ndipo kijana huyo akasema kuwa alitokea kijiji cha mpinguuu kwani kulikuwa na vita kijijini kwao ndipo alipo fanikiwa kutoroka na kutokomea polori na kutojua anako elekea mpaka alikuwa porini kwa miaka ipatayo 3. # ***************************** # PAULINA alipata wakati mgumu kwani kijiji kilimwagiza naye huruma imemuingia kwa yule Kijana kwani Kijana KADELEWE alivyo kuwa akimsimulia PAULINA mengi aliyaelewa na kumuelewa KADELEWE. Ndipo KADELEWE alishangazwa na binti PAULINA kushusha kile kisu kwani alikuwa kaisha kishika na tayari kwa kutekeleza alioagizwa na malkia TEDORA. Basi ndipo alipo pata nafuu kwani alikuwa haamini mpaka dakika hike,

Epsd 17 PAULINA alichukua kile kisu ambacho malkia TEDORA alimpatia na kukituza ili kikafanye kazi kama Mira na destuli za kwao. Basi Paulina alipewa masaa machache ya kuonekana pale kijiji na malkia TEDORA basi naye PAULINA bila kupoteza mda aliingia ndani kwake na kujipanga kwa safari hile. Aliandaa chakula kidogo cha kulia njiani. Ndipo alipo uaga umati wa wanakijiji na kuanza safari ya kwenda kumaliza Kijana KADELEWE huku akiongozana na mbwa wake au mlinzi wake. # ********************************* # Malkia TEDORA aliitisha mkutano kwa mda mfupi ili wanakijiji wamuage shujaa wao PAULINA kwa lile aliloagizwa na kiongozi wao pis kwa Mira zao ili akalitimize. Walifika kwenye mkutano huo na walimwaga kwa vifijo na ndelemo binti PAULINA kwani walimwamini sana binti huyo kwa kuwa jasiri sana kwenye kijiji chao huku wakiamini atafanikiwa. # *************************** # Kijana KADELEWE alivyo sikia tamko LA malkia TEDORA kuwa Mira na destuli ziliwabana mpaka kupelekea kumwagiza binti PAULINA akamtoe sadaka porini alibaki ana shangaaa licha moyo ni alijua anaweza mtotoka binti PAULINA. Safarii ilianza huku akiwa amefungwa mikono yako ili asije mtoroka binti PAULINA. # ######TAG MWENZIO######

Epsd 16 KADELEWE aliona malkia TEDORA akimsogelea huku kashika kisu ambacho utumika na Mira na destuli za kijiji kile ili kuulia waharifu au watu wanao vamia kijiji pasipo ruhusa ya malkia au mfalme kwenye kijiji chao. Basi Kijana KADELEWE alijua tu anakuja kumwondosha huai wake basi alisali Sara zote alizozijua yeye pale alipo kuwa chini huku ulinzi ukiboleshwa vizuri na wale walinzi ili asije watoroka. # ******************************** # Kumbe Mira na destuli ya kijiji kile endapo MTU akija na kuvamia na kuishi pasipo ruhusa hukumu yake uchaguliwa MTU naye hupewa mda wa kwenda mumuangamiza njema ya eneo LA kijiji kile na MTU anaye pewa jukumu hilo ni MTU ambaye anajiweza sana na licha ya hayo hawe kaishafanya tukio pale kijijini lililo wafanya wanakijiji na viongozi wao wakalipenda na kumuuita mzalendo (MTU ambaye anaye pigana kwajili ya kijiji chake). Ndipo malkia TEDORA alipo mwamulu PAULINA achukuwe jukumu LA kumuangamiza KADELEWE mbali na kijiji chao kwani PAULINA ndiye binti ambaye kaisaidia sana kijiji chake na kuonesha yeye mzalendo imara. # ******************************** # PAULINA aliposikia hivyo alishituka sana licha ya kijiji kile ukipewa kazi na mkubwa wako ni lazima uitekeleze. Basi PAULINA alimkubalia malkia TEDORA atafanya hivyo kama alivyo mwagiza. Huku akifikilia ataweza kweli maana yeye na KADELEWE waisha faamiana mda mchache na kuongea vizuri basi akuwa na jibu. Ndipo malkia TEDORA alimkabizi kile kisu kama mira zilivyokuwa zina sema bila kuogopa PAULINA naye alikichukua kile kisu. # # #TAG_MWENZIO_APATE_KUSOMA FOLLOW FOLLOW FOLLOW FOLLOW @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz @hanscharlz BASI UTAKUTANA NA SURA ZANGU NYINGI

Epsd 15 Basi vijana walitii amri ya malkia TEDORA na walimchukua KADELEWE kwa nguvu huku wakimzonga zonga sana na kumvuluta chini. Basi walimpeleka KADELEWE mpaka walipokuwa wameanda vijana wale. Basi walimfikisha na kumfunga ipasavyo KADELEWE licha ya KADELEWE kugoma kwa mda kufungwa kamba zile ndipo malkia TEDORA aliteuwa vijana wake wawili ambao ni ma pande ya watu yenye nguvu sana. Vijana wale walimzibiti na kumfunga zile kamba huku wakimlinda KADELEWE asije toroka pale. # ********************************* # Binti PAULINA aliingiwa na huruma pindi walivyo kuwa wakimpeleka KADELEWE lakini akuwa na jinsi ya kufanya kwani angeonesha tu nia ya kumsaidia KADELEWE basi naye angekuwa hatiyani kwani alimjua fika malkia TEDORA kwa ukatiri wake huongea Mara moja na kutimiza jambo hilo. PAULINA alisimama kando kidogo na pale walipokuwa wamemfunga Kijana KADELEWE huku akisubilia malkia TEDORA atafanya nini kwa KADELEWE. # ******************************** # Malkia TEDORA alitoa jukumu ya kuuwawa kwa Kijana KADELEWE kwa kile kitendo alochofanya huku akifikilia akimwacha tu anaweza Fanya ma tukio ya ajabu kwenye kijiji chake. KADELEWE alivyo sikia hukumu ikitoka akiangalia pande zake mbili walikuwa wamesimama watu na nguvu zao ambao yeye aingii hata kidogo na hakuwa na ujanja huku akijua ndiyo mwisho wake.

Epsd 14 KADELEWE alipo toka nje na kukuta umati wa maasikali ukiongozana ma mkubwa wao huku wakiwa wameshilikilia mishale na mikuki ambayo ilikuwa imeelekezawa kwake. Licha ya KADELEWE hakuweza kuwajua kwani alikuwa mgeni ndipo PAULINA alipo mwambiya ndiye malkia wa kijiji chao. Kwa hofu kubwa aliogopa sana. Kwani walivyokuwa ndani waliji sahau kuwagungulia shangwe na mbwa zile kamba ndipo mbwa yule alipona mda unazidi kwenda alipiga kilele na walinzi walizisikia ndipo walichukua jukumu LA kuja kuangalia nini kinacho endelea. # ******************************* # Aliye kuwa akiongoza ule msafara alikuwa malkia mwenyewe jina TEDORA. Licha ya malikia TEDORA kufika na kutaka kujua kilicho kuwa kikiendelea pale ndipo alipo waona PAULINA na KADELEWE wakitoka nje na huku akiona mbwa pamoja na shangwe wamefungwa. Basi malkia TEDORA alimuuliza PAULINA yule Kijana ni nani na anatoka wapi kwani ajawai kuona michoro kama ya Kijana KADELEWE huku malkia akijua ndiye mhalifu. Ndipo PAULINA alieleza story nzima kwa malkia TEDORA. Ndipo malkia TEDORA aliamuli vijana wake wamkamate KADELEWE. # ******************************** # KADELEWE aliposikia malkia TEDORA anaamulu vijana wake alijiandaa kwa mapigano. Licha ya PAULINA kutaka ajisalimishe tu. KADELEWE alisikia maneno ya binti PAULINA na akatupa siraha zake chini na kujisalimisha mikononi mwa malkia TEDORA. Malkia TEDORA aliamulu wa mfunge kwanza kabla ya kutoa hukumu. # ######USIKU MWEMA#####