Ester Mariam

45 Flips | 1 Magazine | @EsterMariam | Keep up with Ester Mariam on Flipboard, a place to see the stories, photos, and updates that matter to you. Flipboard creates a personalized magazine full of everything, from world news to life’s great moments. Download Flipboard for free and search for “Ester Mariam”

Celtic Pride: Boston’s 17 Most Wicked Rooftop Bars

Bean Town is where only Olympic-level drinkers go to celebrate. Outside of New Orleans, nowhere is drunker or has a better bar scene than Boston. The …

16 Secret Societies That May Control The World

For as long as there have been conspiracy theories, there have been secret societies. Groups like The Illuminati or Yale’s Skull and Bones groups, as …

Secret Societies

15 Rare Rooftop Views Prove Life is Better At The Top

Mountain climbers are the men and women who wish to ascend to the kingdom of heaven from Earth. They are admirable people who are capable of …

Climbing

15 Incredible Toothpick Sculptures from 5 Dynamic Artists

With all the options for dental picks and single-use floss loops on the market, very few people use toothpicks to actually pick their teeth anymore. …

Check out this #Classic, #Rustic, #Transitional Design Build #kitchen #Remodel with APlus #CustomCabinets in city of Newport Beach http://www.aplushomeimprovements.com/portfolio_page/newport-beach-design-build-home-kitchen-remodel-with-aplus-custom-cabinets109/

Log In or Sign Up to View

This Facebook post is no longer available. It may have been removed or the privacy settings of the post may have changed.

Thanks to United Airlines, is flying while Asian something to fear? | Steven W Thrasher

The forcible removal of an Asian man from an overbooked flight echoes cases of American violence against people of colour who defy authority<p>After a man was violently dragged from a United Airlines flight, there will no doubt be defenses of the company along the lines of, “Well, if the man had …

APlus Interior Design & Remodeling Review by Mike in Irvine, CA

APlus interior Design and Remodeling did a complete kitchen remodel, complete bathroom remodel and put in all new flooring in my house. I had never …

Glass-bottom pool in Houston

I love Africa

YOU GOTTA LOVE THIS SISTER <br>#AWESOME

VP azindua Kikosi Kazi Maalum kuokoa mfumo wa ikolojia Bonde la Mto Ruaha Mkuu

Siasa<p>By Swahili Times<p>317<p>0<p>Share:<p>Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan amezindua Kikosi Kazi Maalum kwa ajili ya …

Aliyekuwa Waziri Tanzania aeleza alivyoshawishiwa kujiunga Freemasons

Siasa<p>By Swahili Times<p>1010<p>0<p>Share:<p>Mwanasiasa mkongwe nchini na aliyewahi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria katika miaka ya 1995 hadi 2005 amesema kuwa …

KIKAANGONI NA UPENDO NKONE

#HABARI Mbunge asema alichofanyiwa Roma Mkatoliki ni sawa, awashangaa wanaomtetea. Soma >> http://www.eatv.tv/news/current-affairs/alichofanyiwaroma-nisawa-mbunge

#BURUDANI Mkongwe wa hip hop Soggy Doggy ataja kilichomkimbiza kwenye muziki. >> http://www.eatv.tv/news/entertainment/soggy-ataja-kilichomkimbiza-kwenye-muziki

Ofa hizi na nyingine nyingi ni kwenye maduka yetu yaliyopo kwenye vituo vyetu vifuatavyo; Total University-Mlimani city; Total Africana-Mbezi Beach; Total Port Access-Sokota-barabara ya Changómbe-Temeke, Total Shekilango-Ubungo, Total Bagamoyo Road-Morroco na Total Uhuru-Kariakoo. **Wahi sasa ofa hizi ni za muda maalumu.

Mmmesalimiwa na Mama Sepetu

SHUHUDA YA SixIn30 Moja kati ya waliojiunga na SixIn30 akieleza program ilivyomsaidia. Awamu ya tisa ya program hii ya Whatsapp ya Kupunguza Uzito ambayo imeshasaidia watu zaidi ya 1,700 inaanza kupokea watu wapya Jumatatu tarehe 17 Aprili saa 6 kamili Mchana. Tembelea ukurasa huu Jumatatu hiyo saa 6 kamili mchana kujua jinsi ya kujiunga. (Usiandike namba yako hapo chini haitaunganishwa). Kuona matokeo zaidi ya SixIn30 bonyeza hapa: matokeoblog.wordpress.com

Tamko la Tume ya Haki za Binadamu kuhusu kutekwa kwa Roma Mkatoliki na wenzake

Home<p>By Swahili Times<p>623<p>0<p>Share:<p>Katika siku za karibuni kumekuwepo na taarifa katika vyombo vya habari, ikiwemo mitandao ya kijamii, kuhusu matukio ya …

"Ni sheria gani inayosema wewe mbunge kwa sababu una kinga, ukiitukana serikali usikamatwe, Kama umeitukana serikali ni lazima ukamatwe, upelekwe kwenye vyombo husika ukahojiwe kwanini umeitukana serikali. Wako watu waliizoea serikali iliyopita, kazi yao ni kuitukana serikali, lazima tukubaliane na mabadiliko, wewe unaitukana serikali wakuache tu, serikali inafanya kazi nzuri, tunaiona". - Deo Sanga Mbunge wa Makambako

Rais Magufuli awapiga kijembe wanaomkosoa wakati akizundua ujenzi wa reli ya kisasa

Siasa<p>By Swahili Times<p>508<p>0<p>Share:<p>Rais Dkt Magufuli amewakosoa Watanzania ambao wao kila kukicha ni kupiga kelele na kukosoa uongozi wake badala ya …

Weka Comment Yako Hapa

Jipatie Muongozo wa Kilimo cha Vitunguu Swaumu Habari za leo Mjasiriamali wa kilimo, mtandao wako wa kilimobiashara.net unakuletea Muongozo wa kulima Kitaalamu zao la Vitunguu swaumu (Master Plan) pamoja na Mchanganuo wa gharama na faida za kilimo hicho (cost benefit analysis) . Unaweza kupata maelezo zaidi hapa chini: Karibu sana Baadhi ya Yaliyomo kwenye Mchanganuo wa gharama na faida za Kilimo cha vitunguu (Cost benefit Analysis – CBA) Gharama za Uzalishaji (Mtaji) wa Vitunguu swaumu kwa ekari moja. Hapa utajua kama unahitaji kuanza mradi wa vitunguu swaumu uwe na kiasi gani cha mtaji Rasimali zote zinazohitaji kwenye Kilimo cha vitunguu swaumu gharama zake. Mfano mbegu, na bei zake, Madawa na gharama zake, mbolea, vibarua, n.k Makadirio ya Mavuno na Kipato utakachopata. Hapa utafahamu Faida inayopatikana kwa kuwekeza kwenye vitunguu swaumu. Baadhi ya Yaliyomo kwenye Muongozo (Master Plan): Uandaaji wa shamba, na namna ya kutengeneza vitalu vya kupandia vitunguu swaumu. Programu ya upigaji dawa za magonjwa na wadudu kuanzia mwanzo hadi mwisho. Hapa tumependekeza dawa zenye ufanisi mzuri kwenye kudhibiti magonjwa na wadudu wasumbufu kwenye kilimo cha vitunguu swaumu. Programu ya Uwekaji Mbolea: kuanzia mbolea ya kupandia hadi mbolea za kukifnya kitunguu swaumu kijijenga vizuri. Wakati gani wa kuweka mbolea hizo, na kiwango cha kuweka kwa mmea. Pia utajua namna ya kuchanganya mbolea mbili kwa uwiano mzuri wenye kuleta matokeo mazuri. Hapa Utazifahamu mbolea sita muhimu kwa vitunguu swaumu na namna ya uwekaji wake. Programu ya Mbolea za majani (Booster): hapa utazifahamu mbolea zote za majani kuanzia za wakati mimea ni midogo hadi zile za kipindi vitunguu vimekaribia kukomaa. Ili kuleta ufanisi zaidi tumeonyesha namna ya kuchanganya mbolea hizi za majani (boosters) na dawa za wadudu. Hapa utazifahamu boosters (mbolea za majani) 4 muhimu kwa ajili ya kuweka kwenye kitunguu swaumu. Utafahamu wakati gani wa kupiga kila aina ya booster na kiwango sahihi cha upigaji. Programu ya Umwagiliaji: Hapa utafahamu kiwango cha maji kinachohitajika kwenye kila hatua ya ukuaji ya Vitunguu swaumu. Pia utafahmu ni wakati gani wa kumwagilia kila siku, na ratiba ya wiki. Kuna wakati kitunguu swaumu hakihitaji maji, utafahamu ni wakati gani usimwagilie. Shughuli nyingine zote muhimu zipo, na zimewekwa kwa mtiririko mzuri ambao kila mkulima ataelewa vizuri. Kwa wakulima watakaotumia Master Plan watapewa fursa ya kupata mafunzo na ushauri wa mara kwa mara kwa msimu mzima wa kwanza: (ushauri na mafunzo haya kuhusiana na kitunguu swaumu yatatolewa bure kwa wale watakatumia huduma yetu hii ya Master plan) Kwa wakulima watakaotumia Master Plan watapewa fursa ya kupata mafunzo na ushauri wa mara kwa mara kwa msimu mzima wa kwanza: (ushauri na mafunzo haya kuhsiana na kitunguu swaumu yatatolewa bure kwa wale watakatumia huduma yetu hii ya Master plan) Gharama ya Master Plan na CBA (Muongozo na Mchanganuo) Kwa mwezi huu wa nne (April) Master plan na CBA ya Vitunguu swaumu zinapatikana kwa bei ya OFA ya 10,000/= tu. Baada ya hapo zitapatikana kwa 20,000 (elfu ishirini). Namna ya kupata Master Plan na CBA: Muongozo huu na CBA vitatumwa kupitia email au whastapp, Malipo yatafanyika kwa njia ya mpesa kupitia namba yetu ya 0763 071007. Baada ya malipo utatuma email yako na Jina lako kwa ajili kutumiwa Muongozo huo. Hakikisha email unayotuma ni sahihi Email na jina utatuma kwa njia ya meseji (SMS) kwenye namba hiyohiyo uliyolipia. AU unaweza kutuma kupitia whatsapp. Ikiwa utapenda kutumiwa kupitia whatsapp, basi baada ya kufanya malipo utatutumia msg whatsapp kupitia namba hiyohiyo (0763 071007) Pia mazao mengine ambayo CBA na Miongozo yake ipo tayari, ni Vitunguu maji, Tikiti maji, Nyanya, Pilipili Hoho na Papai Karibu sana Kujifunza zaidi kuhusu kilimo biashara tembelea: www.kilimobiashara.net Hapo utajifunza bure kabisa.